
Morning Guys now kadri siku zinavyokwenda Ukweli unazidi kujitokeza kwamba huu Uchaguzi ni about what? Kwanza tumejionea ukweli wa Chama ambacho kinatakiwa kuwa ni mbadala wa CCM kuwa ni Chama ambacho hakipo serious at all kwanza hakina Msimamo kwa sababu siku moja kilikuwa Chama cha kupinga UFISADI leo CCM baada ya kuyakata Mafisadi waliyokuwa wanayalili muda mrefu yafungwe badala yake wameyapokea...pili tumejionea Structure au System ya Chama cha supposedly "UKOMBOZI" yaani walichokifanya this week ni mfano wa Samora Machel, Mandela, Che Guevara, Fidel Castro walipokuwa wakigombea Uhuru kuongozwa na Ushauri wa the Gwajimas likes I mean wao walidhani wanam crush Dr. Slaa kumbe wanajivua nguo kuwa ni Chama kinachoongozwa na Askofu Gwajima that a respected Leader kama Katibu wake Mkuu anapotaka kujiuzulu anamtumia ujumbe wa simu tu Askofu Gwajima that was the biggest joke of the Century...Tatu tumejifunza kwamba Chadema inaongozwa na Askofu Gwajima ambaye amesema mwenyewe kwamba in his life kila anapo ongea na mtu lazima amrekodi now I wonder amewarekodi mara ngapi Viongozi wa Chama hiki cha "Ukombozi?"now wakishika madaraka tutakuwa na Viongozi wakuu wa Taifa ambao ni watumwa wa Gwajima kwa sababu wanajua wamerekodiwa naye now wanaogopa kumuudhi cause atawaumbua mbele ya public kama alivyomfanyia Kiongozi mwenzao Dr. Slaa? So jamani Wananchi wenzangu kweli mnataka tuongozwe na hili kundi la Gwajima?...now tatizo lingine limeshakuwa wazi kwamba afya ya Mgombea wao haiko vizuri hata kushikilia vyombo vya sauti hawezi kwa mfano Zanzibar wamemsubiri siku nzima ilipofika zamu yake kuhutubia ametumia Dakika Moja na Nusu tu masikini wa Mungu...now kwa mbali sana unaiona Depression kwenye hiyo timu ya Gwajima sawa hivi ni vita vya kushika Dola zimebaki siku 42 tu Magufuli tayari amepitia Mikoa 10, kwa gari na amepitia kila kijiji, kata na jimbo lakini Mgombea wa UKAWA ameshindwa kabisa zaidi ya kuruka ruka na Helikopta kwenye miji mikubwa tu I mean naomba kuuliza kweli after all these wewe ni Political Analyist wa UKAWA hivi ni kweli wanakulipa kuwapa tathmini unawambia wanashinda huu Uchaguzi kwa hayo tu yaliyojitokeza? HOW? - le Mutuz
Calculator yao inaonyesha 2 x 2 = 6
ReplyDelete