Saturday, September 12, 2015

 Morning Guys LEO NI TOPIC FOR AKILI KUBWAZZZ TU :-the FACT is Tanzania tunaongoza in East Africa kwa kutengeneza USD Millioneaz wapya wengi kila Mwaka kutokana na Ripoti za Forbes na African Wealth Book 2015 infact kati ya Mwaka 2007 na 2014 tumewatengeneza Mamilioneazz wa American Dollars kwa rate ya 51% na honestly speaking ni Tanzania ni nchi ya Tatu Africa kwa kutengeneza Matajiri hawa kufuatia nchi za Angola na Ethiopia...Mwaka 2007 Bongo tulikuwa na Matajiri Mamilioneaz wa USD 3,700 na mpaka mwisho wa Mwaka jana tulikuwa na 6,000 great number ambayo in a perfect sense inatakiwa kumaanisha kuwa tuna New Big investment ambazo zinatakiwa kuinua Uchumi wetu na kutoa ajira mpya kwa vijana hahaha But that is not the Case na cha kutisha sana ni kwamba 98% ya hawa matajiri wapya wamiliki wa American Dollars hawajulikani what is their source of income..na the more bad news to our economy ni kwamba sio watumiaji wakubwa wa our Banking System ikiwa na maana pia sio walipa kodi so something is a miss now hili ni tatizo la Taifa tena a National Crisis ambalo Serikali mpya inayokuja inatakiwa kulisimamia kwa nguvu zake zote kuhakikisha chanzo cha hizi pesa kinajulikana na hizi pesa zinakuwa invested na zinatoa ajira na kodi...now ninaomba kukuuliza swali kama Mwananchi wa Tanzania na muelewa wa Wagombea wako wa Urais na Ubunge ni nani kati ya CCM na Magufuli au Lowassa na UKAWA wakishika Dola wanaweza kulitatua hili tatizo? Be honest with yourself wachana na ushabiki wa Yanga na Simba tumia akili kufikiri ili unapotetea Chama na Mgombea unayemuamini uwe na FACTS za kutetea zilizokwenda Shule sio kuimbishwa nyimbo zilizotungwa na usiowajua agenda yao hapa unaweka Taifa gademu mbele think mazafantazzz! JAMANI ASUBUHI NJEMA SANAZZ! - le Mutuz

2 comments:

  1. Leo umeongea umetoa point mwanaketu . Raisi wa awamu ya 5 na serikali yake waliangalie swala hili na kulitafutia ufumbuzi

    ReplyDelete
  2. Ni vizuri wakainvest nchini uchumi ukuwe na watu wapate ajila

    ReplyDelete