Morning Guys ukizisoma sana Instagram za wananchi wengi wa Tanzania unagundua tatizo moja kubwa nalo ni EDUCATION yaani wananchi wetu wamesoma sana lakini wameshindwa kufunguka akili ili Elimu iwasaidie na hasa kukosa uwezo wa KUBUNI MAMBO MAPYA TOFAUTI NA KAWAIDA..I mean by nature wote tumezaliwa na AKILI ila kinachotofautisha wengine tunakuwa na AKILI KUBWAZZZ na wengine Super gademu Mburulazzz ni UBUNIFU na USTAARABU au CIVILIZATION...Ubunifu can be a spirit of an art to change the old way of doing things in our life kumbuka hakuna Biashara mpya hapa Duniani au mambo mapya kwenye maisha ila kuna UBUNIFU ndio unaotofautisha na kufanya things to look different and apealling au UZAMANI na UPYA siku hizi ni a matter of CREATIVITY au UBUNIFU..na hakuna One way street kwenye Ubunifu hapana ni kwanza lazima pawepo na NIA na HASIRA ya binadam kuchoshwa na kuona anafanya the right things lakini hasongi mbele kimaisha au kibiashara ndipo binadam yule anatakiwa kukasirika na kutafuta njia mpya za kuboresha Biashara au Chochote kile anachokifanya anatakiwa ku invent new Ideas na kuzifanyia kazi bila hata kuomba ushauri wa mtu WHY? ni kwa sababu anafanya biashara au kitu anachokijua..kwa mfano Ndoa yako haiendi powa ni lazima wewe mwenyewe utafakari kwamba it is your marriage na you want it.to work so unaingiza ubunifu haihitaji ushauri..una biashara inayumba badilisha the way you think and do things kama vipi fukuza wafanyakazi wako wote anza upya na wafanyakazi wapya it is your life and your business kumbuka Biblia inasema hakuna Tajiri anayeweza kupata Utajiri kwa halali hahahah na kuendelea kibiashara pia kunahitaji ROHO MBAYA kidogo ili uweze kufanya maamuzi magumu in inventing change in your life or business binafsi inapokuja time for business sijawahi kumchekea mtu au any of my mfanyakazi ni serious business WHY? it is my life please be serious cause it is YOUR gademu LIFE! JAMANI ASUBUHI NJEMAZZ! - le MutuzFriday, September 18, 2015
Morning Guys ukizisoma sana Instagram za wananchi wengi wa Tanzania unagundua tatizo moja kubwa nalo ni EDUCATION yaani wananchi wetu wamesoma sana lakini wameshindwa kufunguka akili ili Elimu iwasaidie na hasa kukosa uwezo wa KUBUNI MAMBO MAPYA TOFAUTI NA KAWAIDA..I mean by nature wote tumezaliwa na AKILI ila kinachotofautisha wengine tunakuwa na AKILI KUBWAZZZ na wengine Super gademu Mburulazzz ni UBUNIFU na USTAARABU au CIVILIZATION...Ubunifu can be a spirit of an art to change the old way of doing things in our life kumbuka hakuna Biashara mpya hapa Duniani au mambo mapya kwenye maisha ila kuna UBUNIFU ndio unaotofautisha na kufanya things to look different and apealling au UZAMANI na UPYA siku hizi ni a matter of CREATIVITY au UBUNIFU..na hakuna One way street kwenye Ubunifu hapana ni kwanza lazima pawepo na NIA na HASIRA ya binadam kuchoshwa na kuona anafanya the right things lakini hasongi mbele kimaisha au kibiashara ndipo binadam yule anatakiwa kukasirika na kutafuta njia mpya za kuboresha Biashara au Chochote kile anachokifanya anatakiwa ku invent new Ideas na kuzifanyia kazi bila hata kuomba ushauri wa mtu WHY? ni kwa sababu anafanya biashara au kitu anachokijua..kwa mfano Ndoa yako haiendi powa ni lazima wewe mwenyewe utafakari kwamba it is your marriage na you want it.to work so unaingiza ubunifu haihitaji ushauri..una biashara inayumba badilisha the way you think and do things kama vipi fukuza wafanyakazi wako wote anza upya na wafanyakazi wapya it is your life and your business kumbuka Biblia inasema hakuna Tajiri anayeweza kupata Utajiri kwa halali hahahah na kuendelea kibiashara pia kunahitaji ROHO MBAYA kidogo ili uweze kufanya maamuzi magumu in inventing change in your life or business binafsi inapokuja time for business sijawahi kumchekea mtu au any of my mfanyakazi ni serious business WHY? it is my life please be serious cause it is YOUR gademu LIFE! JAMANI ASUBUHI NJEMAZZ! - le Mutuz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment