Posted by Williammalecela.com on Monday, September 21, 2015
Morning Guys juzi nilikutana na Kijana Msomi akaniambia "Ninakusoma sana at Social Media sometimes sikuelewi, na sio kwamba upo right all the times" I was like okeee jawabu ni kwamba ni muhimu sana usinielewe na ni one of the idea behind ni kwamba usinielewe ili uendelee kuja kunisoma cause the day ukinielewa hutakuja tena kunitafuta unisome I am The Social Media King in Tanzania kwa sababu I am the only Blogger who stands on Blogging sio kwa sababu ni Mtangazaji wa Radio au TV nilianza na Blog na mpaka leo bado ni Blogger na ni maarufu kwa sababu ya Blogging ila soon nitaingia kwenye Radio na TV nafikiri kitakuwa kiama maana hapatatosha so usiponielewa is good for my business
aspirations na besides watu wote muhimu kwenye this Society ambao pia ni muhimu for my life wananielewa sana now wewe ambaye sio muhimu sana for my life usiponielewa it is ok cause hupunguzi wala huongezi kitu kwemye njia ya my life Rais wa Jamhuri ananisoma kama wewe na ananielewa sasa wewe mwananchi wa kawaida kama hunielewi it is ok..now ishu yake ya pili kwamba sio kila wakati nipo right I mean it is a cheapest way to try to put down a very educated man like me sijawahi kuandika mawazo ya kufikirika siku zote huwa ninaandika reality of life aidha nimepitia mwenyewe au amepitia mtu ninayemjua American Education ni 100% Practical hawana theories so is me ninaandika mawazo yangu kuhusu nilichokiona now kama una tatizo uliza kwa kutumia AKILI KUBWAZZZ kama ninayoitumia kwenye kuandika mawazo yangu badala yake watu wananijibu kwa kutumia Ujinga ujinga badala ya kuandika Hoja ndio maana mpaka leo nimesha Block watu zaidi ya 20,000 I can't take foolishness unajua ukicheza na Mjinga utaishia kuwa Mjinga tu cause ni mjinga halafu hajifahamu kuwa ni mjinga..binadam wasiojiamini na wajinga huwa ni wepesi sana kurusha lugha za chooni na ulevini wakiongozwa na Chuki pamoja na Wivu wana hasira ameshikwa na Shetani badala ya kujilaumu mwenyewe kwa kushindwa maisha anataka kunisingizia mimi hahaha..juzi nimeweka picha ya my living room mtu katokea na mahasira kibao eti rangi hazifai nikamuomba aonyeshe rangi za nyumba yake zinazofaa kaishia kurusha matusi haha! - le Mutuz
0 comments:
Post a Comment