Nimestuka
Lowassa kudharau utawala wa sheria. Babuseya alikata rufaa mahakama kuu
ya Tanzania na kushindwa kwa kosa la ubakaji na udhalilishaji watoto.
Je Lowassa hautambui mhimili wa mahakama? Je utaachia wafungwa wote?
Lowassa ataleta mgongano wa kidola.
0 comments:
Post a Comment