Muuza nyago kwenye sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’.
Mamaaa!
Muuza nyago kwenye sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ ameibuka na
kuanika kijasiri kuwa ‘ameshambonji’ na mastaa wa kiume 15 wa Bongo huku
akisema kitendo hicho hakijamuondolea hadhi yake, Risasi Mchanganyiko
linatiririsha.
Akizungumza
katika mahojiano maalum na waandishi wetu mwishoni mwa wiki iliyopita
jijini Dar, Bozi alitamka hayo kwa kujiamini zaidi.Mahojiano kati ya
msanii huyo na Risasi Mchanganyiko yalikuwa kama ifuatavyo:
Risasi: “Mzima Bozi?”
Bozi: “Mi mzima sana. Enhe! Karibuni maana nasikia mmenitafuta sana, kuna nini?”Risasi: “Tumeshakaribia. Sisi tunataka kufanya mahojiano na wewe kuhusu sanaa kwa ujumla, ugumu na wepesi wake.”
Bozi: “Oke, sawa.”
0 comments:
Post a Comment