Mama
wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kasim. KWELI maisha si
popote! Msemo huu wenye kinyume na ule usemao maisha ni popote
umedhihirika baada ya hivi karibuni mapaparazi wetu kutonywa kuwa, mama
wa Mbongo Fleva,
Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kasim amekuwa akimkimbia mkaza mwanaye, Zarinah Hassan ‘mama Tiffah’ ndani na kwenda kukaa nje kutokana na Zari kujikita sana kwenye mitandao ya kijamii hivyo kutokuwa na mawasiliano.
BOFYA HAPA KUSOMA YOTE

0 comments:
Post a Comment