Posted by Williammalecela.com on Monday, September 14, 2015
Asante
sana dada zangu kwa maongezi na mawazo mazuri. Wakina mama wa Wilaya
ya Kinondoni muda wenu wa kujikomboa kiuchumi umefika nawaomba tu
wakati nitakapo waita naomba muitikie wito bila kuchelewa. Maendeleo
yetu ndiyo Tanzanian yetu.
0 comments:
Post a Comment