Mpenzi wa Diamond Platnumz, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ akiwa na mtoto wake.Breaking
news! Saa chache kabla ya ile sherehe ya kukata na shoka ya 40
ya mtoto wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,
Latifah Nasibu ‘Princess Tiffah’ inayotarajiwa kufanyika mapema kesho,
ndani ya familia hiyo kunadaiwa kuibuka bonge la mpasuko.Habari kutoka
kwa chanzo makini ndani ya familia hiyo yenye maskani yake nje kidogo ya
Jiji la Dar, maeneo ya Madale-Tegeta zilieleza kuwa, kuna madai mazito
ya usengenyaji ambayo yametawala yanayodaiwa kutia doa katika shughuli
hiyo ya kesho.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment