Msanii wa muziki wa Bongo Flava Mr Blue ana sababu kubwa sana ya kufurahia siku hii ya leo, muda mchache uliopita Mr Blue ameshare na sisi furaha yake kubwa ya kumkaribisha mtoto wake wa pili duniani… kupitia mtandao wa Instagram yake Mr Blue amepost picha ya mtoto wake na ujumbe wa shukrani unaosema..
>>>“Alhamdulilahi Mungu ni mwema sana sana… hatuna cha kumlipa zaidi ya kumuabudu kumtukuza na kumshukuru, namshukuru sana Mungu wangu na nashukuru pia mke wangu @wahyda_bysers_heart kwa kuniletea zawadi nyingine nzuri… nimepata mtoto mwingine wa kike ndugu zangu anaitwa #khairriyaaa… ahsante Mungu kwa kunipa baba na mama wa kunilea tena uzeeni…”<<< @mrbluebyser1988.
Hongera sana Mr Blue kwa kupata mtoto wa kike!
HII NI MO DESIGN
Filed Under: Kijamii
POST A COMMENT
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.CodeNirvana
POPULAR POSTS
Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa HALI bado ya majonzi! Watu bado wanalia, hususan wakazi wa maeneo ya Buguruni, Ilala jijini Dar es Sal...
Master wengi wa Bongo movie walijitokeza kwa Dr. Kairuki kuupokea mwili wa Marehem George Otieno Tyson aliyekuwa Director machachari wa fila...
Wake wengi wa Marais husifika kwa kuwa na muonekano mzuri mbele ya jamii inayowazunguuka na pia hutumia nafasi zao kuhakikisha wanakuw...
Klabu ya Manchester United imemsajili mshambuliaji mwenye umri wa miaka 19 kwa dau la pound milioni 36 akitokea klabu ya Monaco ya ...
MAMA mkwe wa nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ambaye pia ni mama mzazi wa mzazi mwenza wa staa huyo, Zarinah Hassan ‘The Bos...
Loveness Malinzi ‘Diva’ NI mtifuano! Agosti 24, mwaka huu ilikuwa siku mbaya kwa nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ au baba ...
MWANANCHI Baada ya kimya cha zaidi ya mwezi mmoja na kutoonekana hadharani, Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa anatarajia k...
Baba mzazi wa mwanamuziki huyo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Abdul Jumaa ‘Baba D’. MSHTUKO! Baada ya hivi karibuni staa wa Bongo ...
Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa Thierry Henry, ameongea maneno ya kumtetea kocha wa Arse...
Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’. Imelda mtema UBAVU wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ amefunguka kuwa ...

0 comments:
Post a Comment