Posted by Williammalecela.com on Tuesday, September 15, 2015
Jina lake ni Fatma Hassan aka DJ Fetty, moja ya Watangazaji ambao wamepata majina makubwa sana TZ na East Africa kutokana na kazi ya
Utangazaji ambapo ana mchango mkubwa pia kwenye muziki wa Bongo Fleva kama Mtangazaji wa show ya Entertainment,XXL ya Clouds FM.
0 comments:
Post a Comment