Posted by Williammalecela.com on Saturday, September 26, 2015
Mtoto
mwenye Umri usio zidi Miaka 16 hakuweza fahamika kwa Majina napoteza
Maisha mara baada ya kugongwa na Gari Eneo la Uyole ya Kati Jijini
Mbeya, wakati alipo kuwa akivuka Bara Bara
kuelekea upande wa pili
Ghafra zikasikika Breki za Gari aina ya Prado yenye Nambari za Usajiri
{T807,DCA} na kupelekea Umauti kwa Kijana huyo hapo hapo.
0 comments:
Post a Comment