Mwigizaji Yvonne Nelson wa Ghana.
MWIGIZAJI Yvonne Nelson wa Ghana ambaye aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwimbaji Iyanya wa Nigeria, na baadaye uhusiano wao huo ukavunjika na kumwacha na kile alichokisema majonzi makubwa, amesema amempata mpenzi wake mpya ambaye ni Mungu.
0 comments:
Post a Comment