Sunday, September 13, 2015

Mtoto wa mfalme  nchini Saudi  Alwaleed bin Talal ameugawa utajiri wake wote kwa kuchangia watu wasiojiweza.Utajiri wake una kiasi cha dolla bilioni 20 akionesha utofauti na watoto wengine wote wa mfalme
huyo.Mwaka jana aliwabeba waandishi wa habari kwenye ndege yake binafsi kwenda kuhesabu utajiri huo.Yeye na Mke wake Ameera wamekuwa wakiishi kwenye nyumba ya vyumba 420.

0 comments:

Post a Comment