Posted by Williammalecela.com on Thursday, September 24, 2015
 |
| Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Ushindi ya Jumuiya ya Wazazi/CCM Taifa Mh. Adam Malima mwenye Suti ya kijivu akiongoza kikao maalum cha Mkoa wa Dar na Viongozi wa CCM kuhusu namna ya kutumia mikakati ya kupata kura nyingi. Jumuiya ya Wazazi/CCM Taifa umekuwa mstari wa mbele sana uchaguzi huu kukitafutia Chama Cha Mapinduzi kura za Uchaguzi wa Rais na Wabunge. |
0 comments:
Post a Comment