Posted by Williammalecela.com on Wednesday, September 02, 2015
 |
"Leo niliwakabidhi polisi jamii(masaki) uniform zao mpya na vitendea kazi,katika hoteli ya coral beach masaki,hu ni mwendelezo wa utekelezaji wa ilani ya chama cha Mapinduzi, katika kuboresha ulinzi na usalama katika mtaa wa masaki . .Mungu ibariki Tanzania"
|
 |
Mwenyekiti wa serikali ya mtaa masaki,ndugu kimweri mhita leo
amewakabihi uniform na vitendea kazi ulinzi shirikishi katika mtaa wake
wa masaki. Ndugu mwenyekiti mhita alisema "ndugu zangu moja ya ahadi
zangu wakati naomba lidha ya kuwa mwenyekiti ni kuboresha ulinzi na
usalama katika mtaa wa masaki, hu ni mwendelezo wa utekelezaji wa ilani
ya chama cha Mapinduzi ju ya swala zima la ulinzi na usalama katika mtaa
wangu wa masaki. .
Halfa hiyo ilifanyika katika hotel ya coral beach masaki, Saa tano asubuhi siku ya leo |
0 comments:
Post a Comment