Emeka Ike msanii wa filamu nchini Nigeria ameachana na mke wake Emma aliyedai ni mshirikina kila dili akimwambia kabla ya kuifanya inafeli.Upande wa mdada huyo amedai amekuwa akipigwa kila siku hadi
kumwagiwa chai ya moto.Mme huyo amekuwa akimwambia bila kuolewa naye agekuwa malaya anajiuza.Ndoa hiyo imedumu kwa miaka michache nakufanikiwa kupata watoto wanne.
kumwagiwa chai ya moto.Mme huyo amekuwa akimwambia bila kuolewa naye agekuwa malaya anajiuza.Ndoa hiyo imedumu kwa miaka michache nakufanikiwa kupata watoto wanne.

0 comments:
Post a Comment