Posted by Williammalecela.com on Thursday, September 17, 2015
Asanteni
sana Chalinze. Safari ya kutafuta Ridhaa yenu imeanza tena. Ni imani
tuko sawa na matarajio yenu tutayafikia. Ninawaomba tena muniamini Mimi
niwe Mbunge wenu, Madiwani na jembe Magufuli.
Inang'ara CCM. # HapaKaziTu.
0 comments:
Post a Comment