Posted by Williammalecela.com on Thursday, September 03, 2015
Msanii wa bongo fleva mwenye single ya ‘Hadithi’ inaoshika nafasi nzuri kwa sasa kwenye radio na Tv amefurahishwa na kitengo cha mchumba wake Shilole
kuchora tattoo ya jina lake kwenye mkono wake kama aliyofanya yeye takriban mwaka mmoja uliopita.
0 comments:
Post a Comment