Posted by Williammalecela.com on Monday, September 07, 2015
Msanii Ali Kiba akifanya vitu vyake jukwaani katika mkutano huo. Kundi la Wasanii wa Filamu nchini la Mama Ongea na Mwanao likitumbuiza katika mkutano huo.
Kundi la muziki la TOT likitumbuiza katika mkutano huo. Steven Nyerere anakamua tu hapo.
0 comments:
Post a Comment