Wednesday, September 23, 2015

Msanii wa filamu Bongo, Brenda Malembeka maarufu kama Kunguru,
MSANII wa filamu Bongo, Brenda Malembeka maarufu kama Kunguru, anadai anatamani kuwa
msaidizi wa kazi za ndani (house girl) kwa Zarinah Hassan ‘Zari’ ambaye ni mzazi mwenzie na Mbongo Fleva Nasibu Abdul `Diamond Platnumz’ kwa ajili ya kumsaidia kumlea mwanaye, Latifa ‘Tiffah’. 

0 comments:

Post a Comment