Haijulikani kama waandishi hao wa CNN walikuja Dar kwaajili ya interview pekee na Diamond lakini kuna uwezekano mkubwa kuwa wapo nchini kwa ajili ya kuripoti masuala ya uchaguzi na wametumia fursa hiyo kumhoji.
Wakati huo Diamond ameshare picha hiyo chini na kunukuu maneno ya John Lennon: When I went to school they asked me what I wanted to be when I grew up, I wrote down HAPPY. They told me I didn’t understand the assignment and I told them they didn’t understand LIFE Happy Maulid … #TheChibus.
0 comments:
Post a Comment