Posted by Williammalecela.com on Saturday, September 26, 2015
Mwandishi wetu
Mastaa
wawili wakubwa Afrika Mashariki, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na
mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ wanadaiwa kuangusha
bonge la pati yenye kila aina ya viashiria vya ufuska, Risasi Jumamosi
limeinyaka.
Pati
hiyo ya aina yake ilifanyika ndani ya mjengo wa Diamond (white house)
uliopo pande za Madale-Tegeta jijini Dar, usiku wa kuamkia siku ya
Sikukuu ya Idd El Hajj (Alhamis iliyopita) na kuhudhuriwa na watu maalum
tu, ikiwa ni katika kusherehekea siku ya kuzaliwa ya Zari.
0 comments:
Post a Comment