Posted by Williammalecela.com on Saturday, September 26, 2015
Mrembo asiyepoteza ubora wake, Wema Sepetu ‘Madam’. Imelda Mtema
BAADA ya kupita ukimya mrefu bila kuzungumzia mapenzi, mrembo asiyepoteza ubora wake, Wema Sepetu ‘Madam’ amemtaja mwanaume anayetarajia kumzalia mtoto kuwa ni Luis Munana, raia wa Namibia.
0 comments:
Post a Comment