Posted by Williammalecela.com on Wednesday, September 02, 2015

Haya
ndiyo maneno aliyoandika staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu katika
mtandao wake wa Instagram baada ya kupewa zawadi ya simu na msanii
mwenzake, Ommy Dimpoz: “Akhsante bwana Omary Nyembo a.k.a Dimpoz kwa poz
kwa zawadi ya simu toka US japo imenitoa ushamba hahahahahaha!”
0 comments:
Post a Comment