
Mwenyekiti
wa zamani wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema
wanaodhani wanatumika CCM wamekosa mwelekeo kwani alikuwa kinara wa
kuitaka itoke madarakani.
Profesa Lipumba aliyekuwa mwenyekiti mwenza
wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), alijiengua kwenye wadhifa huo
kwa kile alichodai nafsi yake itamhukumu kwa kumkaribisha kundini,
Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa.
0 comments:
Post a Comment