Posted by Williammalecela.com on Wednesday, September 23, 2015
 |
TWAWEZA YASEMA Dr JOHN MAGUFULI NDIO RAIS Dr Magufuli ameonekana kushinda kwa 65% Edward Lowassa ameonekana kushinda kwa 25%
Baadhi ya Wapenzi wa Chadema na UKAWA Wameonekana kutokubaliana na
Utafiti huo sababu kuu ikiwa ni Idadi ndogo ya wahojiwa 1800 kati ya
Milion 23. Tukumbuke:Tume ya Jaji Warioba Ilihoji watu takriban Laki 3 waliyotosha kuwawakilisha Watanzania wote Milion 46. Kwa Utafiti wa TWAWEZA Dr JOHN MAGULI Anasubili Kuapishwa. |
0 comments:
Post a Comment