Nishaanza kuichukia hii Blog maana inakwenda nje ya malengo yake imejikita zaidi kichama c bora ukaibadilisha jina baada ya wananchi blog badilisha iwe wanaccm blog hapo tutakuelewa!
U-CCM upo wapi tena ndugu yangu! Au kuandika kuwajulisha watu ukweli ndiyo shida? Au lengo lako ni kutufahamisha ya kuwa ndani ya CCM kuna ukweli na ule upande wa pili kuna UONGO?
Hii blog ipo vizuri tema sana, pole kwa kuwa umejisikia vibaya kuumbuliwa kwa propaganda za UKAWA.
Nishaanza kuichukia hii Blog maana inakwenda nje ya malengo yake imejikita zaidi kichama c bora ukaibadilisha jina baada ya wananchi blog badilisha iwe wanaccm blog hapo tutakuelewa!
ReplyDeleteHawa UKAWA wataibika vibaya sana! Sasa hii ni nini?? Wanawalipa watu pesa nyingi ili kusambaza uongo..haya yetu macho. Na wawe tayari kwa mweleka mkuu
ReplyDeleteU-CCM upo wapi tena ndugu yangu! Au kuandika kuwajulisha watu ukweli ndiyo shida? Au lengo lako ni kutufahamisha ya kuwa ndani ya CCM kuna ukweli na ule upande wa pili kuna UONGO?
ReplyDeleteHii blog ipo vizuri tema sana, pole kwa kuwa umejisikia vibaya kuumbuliwa kwa propaganda za UKAWA.