Ukweli kuhusu mlinzi wa Dr silaa bwana Khalid Kagenzi kuhusishwa na kumlisha sumu Dr Silaa. Khalid Kagenzi ni mtumishi wa siku nyingi ktk chama cha chadema km Mpambe wa viongozi Ndg Kagenzi ndiye aliyekuwa Mpambe wa Hayati Chacha Wangwe mpk mauti inampata mtakumbuka marehemu Wangwe alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa upande wa Tanzania Bara alipata umaarufu mkubwa baada ya kupinga matumizi ya ruzuku ya chama kutumika makao makuu tu kiasi cha kutishia uenyekiti wa mbowe
ndipo timu Mbowe kupitia kwa watiifu wake moja kati ya wabunge wa Dar es salaam na mbunge mwingine toka kanda ya kaskazini na mtu moja aitwaye Malya aliyekuwa mfanyakazi chini ya ofisi ya makamu mwenyekiti marehemu Wangwe kupanga njama ya kupunguza kasi yake kilichotokea kila mtu anajua sina haja kuelezea taarifa toka ndani ya chadema zinadai kuwa aliyetumiwa ktk mpango wa chacha wangwe ni Khalid Kagenzi aliyekuwa mpambe wa wangwe inasemekana huyu bwana alihaidiwa pesa baada ya kazi kuisha lkn baada ya kazi hawakumpa hizo less
walichofanya ni kumhamishia kuwa mlinzi wa Dr Silaa safari hii tena timu Mbowe wakapanga plan za chacha wangwe kwa kutaka kumtumia Khalid Kagenzi kummaliza Dr Silaa hii inatokana na timu Mbowe wanatafuta kila mbinu ili Mbowe agombee urais kupitia chama icho hasa baada ya kuona mwitikio kwenye majukwa ya kisiasa nchini lkn kikwazo kwake ni Dr Silaa lengo la mpango wa timu makini ya Mbowe ni aidha kumwondoa Dr Silaa au kumtisha ili akate tamaa katka mkakati wao ikabidi wamtumie mpambe wa Dr silaa safari hii Ndg Kagenzi akamgomea timu Mbowe ndipo ilipochorwa dili ya kumwambia Dr silaa kuwa mpambe wake anatumiwa na maafisa wa usalama wa taifa na makamu mwenyekiti wa ccm taifa na huu mpango ulisukwa kwa umakini zaidi
kwasababu wanamfahamu vzr Dr Silaa kuwa ana jazba akiambiwa kitu uwa anaghafilika haraka mtoa habari wangu amenihakikishia kuwa mchakato wa timu Mbowe kutaka kumuengua Dr katka kugombea urais umepangwa kupitia kwa mzeee Mtei muasisi wa chama icho. Timu Mbowe wamezoea walimtimua Zitto Kabwe na wakamlisha silaa maneno kuwa zitto msaliti sasa ni zamu ya Dr Silaa kuchomolewa ili kuokoa jahazi la mgogoro ndani ya chadema wameamua kumzushia mzee mangula kuwa ndiye alikuwa anamtumia mlinzi na kutunga story ya uwongo ndiyo maana walikataa kutaja namba za maofisa wa Tiss.

0 comments:
Post a Comment