Posted by Williammalecela.com on Tuesday, September 15, 2015
 |
WAZIRI LUKUVI AZINDUA MPANGO KABAMBE WA MJI MPYA WA KIGAMBONI
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi (Mb),
akihutubia wananchi wa Kigamboni katika Uzinduzi wa Mpango Kabambe wa
Mji Mpya wa Kigamboni Katika Uwanja wa Tangamano – Mnadani Vijibweni.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Mipango Miji, Bibi Immaculata Senje
akitoa taarifa fupi ya Mpango Kabambe wa Mji Mpya wa Kigamboni wakati wa
Uzinduzi wa Mpango huo.
Mkuu wa
Wilaya ya Temeke Bibi Sophia Mjema akizungumza na wananchi wa Kigamboni
(hawapo pichani) katika Uzinduzi wa Mpango Kabambe wa Mji Mpya wa
Kigamboni, kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya
Makazi, Bwn. Alphayo Kidata.
Aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni
Faustine Ndugulile akizungumza na wananchi wa Kigamboni katika Uzinduzi
wa Mpango Kabambe wa Mji Mpya wa Kigamboni, nyuma yake ni Waziri wa
Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ,William Lukuvi (Mb), Katibu Mkuu
Bwn. Alphayo Kidata na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bibi Sophia Mjema. |
0 comments:
Post a Comment