HARUSI YA KIHINDU(HINDU).
Kuna
ndoa za aina nyingi, na leo tunaongelea ndoa za kidini.Ndoa hizi
hutofautiana na imani au dhehebu.Harusi hizi zinaweza kufungwa sehemu
tofauti kama kanisani, miskitini na hata hekaluni.
Kabla ya kufunga ndoa ni muhimu kukutana na mkuu wa dhehebu lako upate muongozo kusiwe na tofauti yoyote siku ya harusi yako.
HARUSI YA IMANI ZA KIJAPANI.
HARUSI YA KIISLAMU(ISLAMIC).
HARUSI YA KIIMANI YA KIYAHUDI(JEWS).
HARUSI YA IMANI ZAKI RASTAFARIAN(RASTAFARIAN).
CREDIT:www.shereheyetu.com
0 comments:
Post a Comment