Posted by Williammalecela.com on Thursday, October 01, 2015
 |
| Aliyekuwa Mwanasheria maarufu wa kujitegema hapa mjini Dar Mh. Anthony Mavunde ambaye sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa na Mjumbe wa NEC CCM Taifa, anaendelea kujiweka vizuri kushika nafasi anayogombea ya Ubunge wa Dodoma Mjini kupitia CCM. Hapa akiwa na Mgombea Urais wa CCM Dr. Magufuli live!! |
0 comments:
Post a Comment