![]() |
| Hii picha ya kweli ya leo Mwanza kwenye mkutano wa Lowassa. |
![]() |
| Hii ni picha ya uongo sio Mwanza hapa tizama ile ya juu ya ukweli ina bendera na hii haina bendera hata moja. |
![]() |
| Hii ya ukweli unaziona bendera zinavyonekana, now swali ni kwa nini UKAWA hawaziamini hizi picha za ukweli za mafurikoz yao? Mpaka inabidi waongezeee na za kutenengeneza? |



0 comments:
Post a Comment