Tuesday, October 6, 2015

Mwenyekiti wa Msafara wa Magufuli kutafuta kura Mh. Bulembo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi/CCM Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, akiongea na Wananchi wa Mkoa wa Arusha ambapo pia alimtumia ujumbe mzito sana Askofu Gwajima kwamba aliwahi kutishia kusema kwamba asiyemtaka Lowassa ndani ya CCM kuwa Rais, akatumie Malimao sasa ina maana basi Gwajima ndiye anayetumia Malimao maana Lowassa sio mgombea wa CCM. Pia Mh. Bulembo ameahidi kumpa vidonge zaidi Askofu huyo kesho kwenye mkutano wa Moshi.





0 comments:

Post a Comment