Monday, October 26, 2015



1. NAPE NNAUYE - Ameshinda Mtama.
 

2. DR. MWAKYEMBE - Ameshinda Kyela.

- Mafisadi walitumia nguvu kubwa sana kuhakikisha hawa 2 hawaingii bungeni, lakini wameshindwa na Nape na Dr. Mwakyembe wanaingia Bungeni live!!

0 comments:

Post a Comment