MAREHEMU
Dk Abdalala Kigoda enzi za uhai wake(Pichani) Mwili wa aliyekuwa
Waziri wa Viwanda na Biashara Dk Abdalala Kigoda aliyefariki nchini
India unatarajia kuwasili leo mchana tayari kwa ajili ya mazishi, kutakuwa na kuuaga mwili huo kwa wananchi na Viongozi Karimjee Hall siku itakayosemwa kabla ya kwenda kuzikwa nyumbani kwao Tanga.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment