Monday, October 5, 2015

Mwanakamati ya Ushindi wa CCM Abdallah Bulembo amemjibu kwa kutoa taarifa fupi kutokana na Muda wa kampeni kuisha leo Mjini karatu kwenye kampeni za kumnadi mgombea wa Urais Dk.John Magufuli,Mkoani Arusha ameahidi hapo kesho atamjibu Mch.Gwajima baada ya kusema kuwa anyamaze mara moja sivyo atakapotoka na kusema patafuka moshi. Ni baada ya kwambia kuwa Mch.Gwajima ni mchochezi wa amani kuwa endapo UKAWA watakapochukua nchi Misikiti yote itageuka na kuwa Sunday school.

0 comments:

Post a Comment