Posted by Williammalecela.com on Monday, October 05, 2015
 |
| Blogu ya Wananchi inaomba radhi kwa usmbufu wa aina yoyote ile kutokana habari iliyoripotiwa mapema hapa kwamba Waziri Kigoda alikuwa amefariki dunia huko India anakotibiwa sasa hivi ukweli ni kwamba Waziri Kigoda yupo mahututi katika Hospitali ya Apollo huko India. |
0 comments:
Post a Comment