| Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi/CCM Taifa Mh. Bulembo leo akiwa kwenye mkutano wa Magufuli Karatu, amemhakikishia Askofu Gwajima kwamba leo muda haukutosha kwenye kikao hicho lakini kesho atampatia majibu sahihi ya vitisho alivyovirusha Askofu huyo mshauri wa Mgombea urais wa UKAWA Lowassa. So stay tuned kesho hapa hapa live!! |
Monday, October 5, 2015
BREAKING NEWS!!:- GWAJIMA KUISOMA NAMBA KESHO KUTOKA KWA MWENYEKITI WA WAZAZI/CCM TAIFA KESHO LIVE!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment