Kayumba Juma ameibuka mshindi katika shindano la bong star search kwa mwaka 2015 na kujinyakulia kitita cha shilingi milioni 50Katika mchuano wa roundi ya tatu bora Kayumba Juma alikuwa na Nasib Fonabo na Frida Amani, ambapo Frida ametolewa tatu bora na kubakiza wawili ambao wamechuana vikali
Baada ya mchuano huo Chief Jaji Madam Ritta amemtaja kayumba juma kuwa mshindi wa shindano hilo

0 comments:
Post a Comment