Posted by Williammalecela.com on Sunday, October 04, 2015
Mwanasiasa
mkongwe na Mwenyekiti wa Chama Cha DP Mch Christopher Mtikila amefariki
dunia kwa ajali ya gari kijiji
iliyotokea cha Msolwa, Chalinze mkoani
Pwani asubuhi ya leo na watu wengine watatu kujeruhiwa katika ajali.
0 comments:
Post a Comment