Musa Mateja na Imelda Mtema
MASHINDANO
ya Bongo Star Search (BSS) 2015, wikiendi iliyopita yalifikia tamati
huku historia ya kwanza ikiwekwa na kijana mwenye umri wa miaka 19 tu,
Kayumba Juma aliyeibuka kidedea kwa kuwatupa wenzake 6 waliofaulu
kuingia fainali na licha ya shughuli hiyo kumalizika salama, lakini
kilichojificha nyuma ya pazia kimefichuka.(katika),
akiwa ameshikilia fedha zake muda mfupi baada ya kuibuka kidedea kwenye
fainali hizo zilizokuwa zikifanyika katika Ukumbi wa King Solomoni
uliopo Namanga jijini Dar es Salaa. Fainali hizo zilifanyika Oktoba 9,
mwaka huu kwenye Ukumbi wa King Solomon uliopo Ada Estate, Kinondoni
jijini Dar huku zikishuhudiwa na maelfu ya wakazi wa jiji, burudani
zilikuwa kibao siku hiyo ambapo zilianza saa 3: 30 usiku zikifunguliwa
na mkali wa miondoko ya R&B, Bongo, Bernard Paul ‘Ben Pol’.
0 comments:
Post a Comment