Posted by Williammalecela.com on Tuesday, October 27, 2015

Matokeo ya ubunge jimbo la Kahama Mjini
Waliojindikisha kupiga kura 149,304.
Waliopiga kura 68,200.
Matokeo haya hapa:
Jumanne Kishimba(CCM) kura 47,555.
James Lembeli(Chadema) kura 30,122.
Bobson Wambura(ACT Wazalendo) kura 605.
0 comments:
Post a Comment