Msanii wa Diamond Platnumz Harmonize ambaye mwezi wa nane mwisho alitoa wimbo wake Aiyola amethibitisha kuwa ameshafanya video.
” Namshukuru Mungu kichupa kimekamilika, nimeongea na director na amenitumia video ,vile vyote nilivyotaka vimewekwa kwenye video na ninamatumaini Watanzania na Africa kwa ujumla wataipenda, Director anafanya kazi haraka haraka sana, Kila mtu nikimuonyesha anaridhika nayo, tumeshoot na magari na farasi na majumba mazuri mazuri “.
Harmonize atatoa kipande kifupi cha video na atauliza watu video itoke lini.
0 comments:
Post a Comment