Posted by Williammalecela.com on Monday, October 26, 2015
 |
| My Super Friend Dr. Chegeni ameshinda Bunge la Busega kwa kura 48,260 na mpinzani wake wa UKAWA kapata kura 9,000 huu ni ushindi mzito sana kutokana na ukweli kwamba Dr. Chegeni aliwahi kuwa Mbunge wa jimbo hilo miaka ya nyuma akalipoteza na sasa amerudi tena. |
0 comments:
Post a Comment