Monday, October 5, 2015

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa kwa hotuba na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa baada ya kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
Like   Comment  

0 comments:

Post a Comment