Wednesday, October 14, 2015

Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha na aliyekuwa mumewe, Emmanuel Mbasha.Waandishi wetu
OHOOO! Kimenuka tena. Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha amesema mwanaye mdogo (jina linahifadhiwa) hahusiani hata kidogo na aliyekuwa
mumewe, Emmanuel Mbasha huku akidai kuwa anamtambua mwanaume huyo kama mzazi mwenzake kwa mtoto mmoja tu (Liz), Risasi Jumatano linakupa zaidi.  

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

2 comments:

  1. We mwanamke unajichoresha...stop talking to tabloids(udaku)...Mlokole gani wewe usiye na kiasi...Toka ile issue yako na Gwa...ianzishe malumbano,ukaanza kuongea na udaku.Then mumeo akajibu...mkamwaga mambo yenu hadharani watanzania tukayajua ya chumbani...
    Haikutosha hapo ukaanza kumtumia usipojipanga Instagram siri za ndani ya ndoa yako.We unakumbuka mithali inatukanya nini.???!!Mwanamke mpumbavu...........
    Mmetia aibu sana ulokole na wewe umeabisha wanawake zaidi.
    Sasa chakuchekesha umefuta kesi ya talaka.Mumeo amekukataa unaanza kuropoka tena.Aibu yako hiyo...Grow up woman we font want to read your nonsense again...Shame Upon You Flora..

    ReplyDelete
  2. Stop it woman..Acha kuanika issue za ndoa yako kwa magazeti...Hujafundwa wewe mwanamke...Hivi wewe mlokole ukaongee very delicate issues kama hizi kwa magazeti ya Udaku...Aibu yako.Tumekusikia wenyewe last week ukidai unampenda mumeo...Leo unadai umeshinikizwa ...You must be ashamed of yourself.
    Umeona amekukataa unaanza tena kujielezea kwenye udaku...Acha hii tabia we mwanamke....Unatia Aibu.

    ReplyDelete