Wakizungumza na
mwandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi katika wodi namba tatu na
namba nane walikolazwa, majeruhi hao wamesema kuwa walishambuliwa na
wafuasi wa vyama vya Chadema na CCM ambao walikuwa katika makundi
makundi kati ya saa mbili na saa nne usiku.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment