Monday, October 26, 2015

Happy Katabazi

BABU MALKIA "RAIS KIKWETE" AMNYEA MR.TOILET
 
KATIKA UFUNGWAJI WA KAMPENI ZA CCM UWANJA CCM KIRUMBA LEO ASEMA CCM ILIKATA MAJINA YA WALIOLIOKUWA WAGOMBEA URAIS CCM WENGINE WALIKUWA NI WAGONJWA
,WAVUNJA KANUNI.KAMPUNI YA RICHMOND HAIKUWA YAKE ,LOWASSA NDIO ALIINGILIA MCHAKATO WA KUPATA KAMPUNI YA RICHMOND.KASEMA MAGUFULI NI ZAMU YAKE KUWA RAIS KASABABU MUNGU AMETAKA AWE RAIS NA ANAFAA .

Hongera Kikwete kwa leo kuandika historia ya kumnadi kwa mara ya mwisho ukiwa na wadhifa wa rais na cheo cha Mwenyekiti wa CCM ukiwa hai na afya njema mgombea urais CCM,John Magufuli.Kuna baadhi ya marais na wenyeviti wa vyama tawala katika mataifa mengine wameshindwa kufikia hilo ulilolifanya leo kwasababu mbalimbali ikiwemo,vifo,vita.
 

Namuita Kikwete ni mkwe wangu kwasababu katika utawala wake akiwa rais Juni 8 /2008 nilibahatika kumzaa mtoto wangu wangu wa kwanza aitwaye Queen Mwaijande ambae nyumbani kwetu tunamuita Queen ni "Malkia ambae ni Mke Kikwete. Kwasababu watoto waliozaliwa katika utawala wake watoto hao wanakuwa ni wajukuu na kikwete ni babu hivyo sikuzote tunamuita Kikwete ni " Babu Malkia" yaani Mume wa Malkia na hadi sasa huyu Babu Malkia ajanipa.Mahali sasa imebaki siku.moja ama zake ama zangu. lazima mahali anipe ama sivyo nitaenda kuzuia pesheni yake.Nakutakia afya njema .karibu uraini.

0 comments:

Post a Comment