Posted by Williammalecela.com on Monday, October 12, 2015

MADAM NA GAUNI LA BEI MBAYA
Lingine lililozua gumzo ukumbini, ni Madam Ritha kuvaa gauni ambalo lilikadiriwa kuuzwa dukani kwa shilingi laki tano.
Ijumaa
Wikienda lililazimika kumfuata Madam kwa lengo la kujua bei ambapo
alisema alilitungua dukani kwa shilingi milioni moja na laki nane
(1,800,000).
0 comments:
Post a Comment